Dahan
JF-Expert Member
- Oct 26, 2022
- 2,746
- 6,285
Kwa hapa nitakua msindikizaji tuu😂😂Haina shida Dahan, nipo na vijana wangu unawaweza??View attachment 2485332
Kwa hapa nitakua msindikizaji tuu😂😂Haina shida Dahan, nipo na vijana wangu unawaweza??View attachment 2485332
noma sana siku hizi , hizi huduma watu wengi ndoa zao zimeenda down.. kwa ajiri wachungajiKaka hebu jaribu kutuliza kichwa ili uamue hili swala, Kuhusu kanisa Bantu Lady, usitetee Sana kwasababu nimewahi ona mambo ya ajabu huko
Karibu sana mkuuI'm new member welcome me please in this thread
Tatizo sio wachungaji bali washirika makondoo wasiojua hata neno.hawa wachungaji wa siku hizi wanazingua sana aseee, Mungu atusaidie. Siku hizi wachungaji wana sauti kubwa kuliko mume.. mchungaji akisema unyimwe unyumba hupati kitu dah
Simamia misimamo yaki Kaka, masuala ya mke kwenda kukesha kanisani, Tena majira ya usiku sikubaliani nayo👎👎🏼noma sana siku hizi , hizi huduma watu wengi ndoa zao zimeenda down.. kwa ajiri wachungaji
Aisee wanabadili sura nzima ya kumwabudu Mungu. Wachungaji nia yao ni kuwashika akili, hapo ni sadaka tu.hawa wachungaji wa siku hizi wanazingua sana aseee, Mungu atusaidie. Siku hizi wachungaji wana sauti kubwa kuliko mume.. mchungaji akisema unyimwe unyumba hupati kitu dah
Haya ndo unieleze To yeye, umemficha wapi ??Kwa hapa nitakua msindikizaji tuu😂😂
chief usinipandishe munkari, nikarudi home mdaa huu kutaka majibu.. 🥲🥲🥲..Tatizo sio wachungaji bali washirika makondoo wasiojua hata neno.
Unaambiwa sabuni, maji, mafuta na vitambaa vya upako eti nawe unanunua kwanini msipelekeshwe?
Bonsuoir MonsieurIs you talking English tu??
Usiyumbe katika familia...kauli yako yafaa kuwa ndio alfa na Omega.chief usinipandishe munkari, nikarudi home mdaa huu kutaka majibu.. 🥲🥲🥲..
mie siwezi pelekeshwa, ataolewa na mchungaji akijichanganya au watamtafutia mume mwingine
😭 ndio maana kuna kipindi naona bora ningekuwa home alone yanii.. ndoa kama karata tatu hivi..Aisee wanabadili sura nzima ya kumwabudu Mungu. Wachungaji nia yao ni kuwashika akili, hapo ni sadaka tu.
Pole best pambana ndiyo uanaume huo. Hakuna kuachana, akufate wewe mume wake. Ya Mchungaji uwe mipaka ana mume mmoja tu, ambaye niwewe.😭 ndio maana kuna kipindi naona bora ningekuwa home alone yanii.. ndoa kama karata tatu hivi..
Mkuu katika mtu ambae anajali familia mie mmoja wapo, tukiachana na utani wa humu, nipo makini sana kwa neema ya Mungu katika malezi ya familia katika misingi ya kiimani na kijamii.. hapa naona mwanamke ana kakiburi flani kajazwa upepoUsiyumbe katika familia...kauli yako yafaa kuwa ndio alfa na Omega.
Lakini nawe uwe na imani sahihi
Bantu Lady, Ubarikiwe kwa hekima hii, ole wako nisikie siku umeolewa kisha ukaanza kuharibu ntakupigaaaaPole best pambana ndiyo uanaume huo. Hakuna kuachana, akufate wewe mume wake. Ya Mchungaji uwe mipaka ana mume mmoja tu, ambaye niwewe.
Nasikilizia saa anaona nimeondoka nimeacha assignment kama utani, nirudi nikute picha picha ndio atajua na maanisha nini..Pole best pambana ndiyo uanaume huo. Hakuna kuachana, akufate wewe mume wake. Ya Mchungaji uwe mipaka ana mume mmoja tu, ambaye niwewe.
Daah ingekuwa mimi hilo angejuatia.Mkuu katika mtu ambae anajali familia mie mmoja wapo, tukiachana na utani wa humu, nipo makini sana kwa neema ya Mungu katika malezi ya familia katika misingi ya kiimani na kijamii.. hapa naona mwanamke ana kakiburi flani kajazwa upepo
Kimanyema nonono saaBonsuoir Monsieur