Dahan
JF-Expert Member
- Oct 26, 2022
- 2,758
- 6,318
Noted 📝Bantu Lady, na Dahan, andikeni majina ya absentees
Noted 📝Bantu Lady, na Dahan, andikeni majina ya absentees
Afadhali we una sehemu ya kukaaNjaa mwana haramu itanilaza mapema, na ndani hakuna hata andazi zaidi ya maji ya kunywa tu
Nakaa kwa baba na baba nae anakaa kwa mama yake..sijui niseme nakaa kwa bibi au kwa baba, shida tupu..Afadhali we una sehemu ya kukaa
Ikifika na nusu mlale02;13
Tunaanza na To yeye 😆😆😆😆😆Bantu Lady, na Dahan, andikeni majina ya absentees
02:20
Jini mimi Mwachiluwi ama unataka nikutokee hapo sasa hivi?Wew kwanini kila siku hulali
Kidogo uwe katika list😂Ndioo naamka hivyo
Na hivi unatafuta kupewa mahaba, utafurahia sana. Wewe ni wa Sumbawanga?Ukinitokea nakukula na ujin wako![]()
Tunawanga MkuuIvi kuna binti ambaye mpaka muda huu hajalala?...
Ananyonyesha? Au yupo wavuvi camp?
Na hivi unatafuta kupewa mahaba, utafurahia sana. Wewe ni wa Sumbawanga?
njoo bs