JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Daah
IMG_20200726_142900_575.jpg
 
That Danga thing is overated. Hamna kipya, waigizaji bado amateurs, story ya kawaida, direction not bad, production fair, ila episode ya latest, too many drone shots kwa ajili ya transitions, kuna plot holes kibao, sound quality safi sana. Plus hakuna consistency kwenye tarehe za kutoka episode mpya, angetulia atengeneze episode 2 ndio aendelee zingine taratibu. Sema kibongo bongo inabadili uelekeo kutoka kwenye kuiga makelele ya wanaijeria kwenda kwenye something watchable.

Kwa mtazamo wangu idris angeanza na ile comedy ya discount mpaka aive ndio alete something big kama hii danga
Amejitahidi lakini kwa level yetu
 
Ila Tanzania tu ndo hatusapoti movie zetu
Leo hii hata Wema angeigiza bikira Mariamu angepondwa coz ni mtanzania eti hakuitendea haki scene

Ila wacha iyo scene aigize mzungu utasikia yani ni kama yeye[emoji4][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uhalisia hakuna bora tumpe mwengine hiyo character
 
Back
Top Bottom