Mzee wa mabalaa.lindo jema
Yap, vp ww upo gud?Wanalindo hatujambo?
Sasa nawezaje pata Elimu kama sina hela tuanzie hapa mzee wangu![]()
Sasa hapo unaongelea pesa mingi mzee baba, pesa ya kukusomea sio pesa mingi kihivyo,Usiache kondom we nyauGuys ngoja kwanza ningonoke, nitarudi baadae.
@mtu chakeKuna mtu namsubiri hapa nikeshe nae![]()
Pesa nyingi zinaanzia shilingi ngapi kwani maana Elimu bila pesa kupata sio rahisi eti.![]()
![]()
![]()
![]()
Sasa hapo unaongelea pesa mingi mzee baba, pesa ya kukusomea sio pesa mingi kihivyo,
Helloooooo kipenzi upo poaWanalindo hatujambo?
Salama sana, za huko uliko?Yap, vp ww upo gud?
Pesa ya kusomesha pesa ya kupatia elimu sio pesa mingiPesa nyingi zinaanzia shilingi ngapi kwani maana Elimu bila pesa kupata sio rahisi eti.
Hawakawii kusema ilikuwa ni bahati mbaya baada ya miezi miwili mbele.Usiache kondom we nyau
Poa sanaaaa.....Helloooooo kipenzi upo poa
Mzuka huku hype hype.Salama sana, za huko uliko?
SafiiiiiMzuka huku hype hype.
Unajua hii debate ni ile ya "Education is better than Money" huwa inakuwaga na mabishano makali sana nisawa nakusema "kuku na yai kipikilianza"Pesa ya kusomesha pesa ya kupatia elimu sio pesa mingi
Si ndiyo hapo sasaHawakawii kusema ilikuwa ni bahati mbaya baada ya miezi miwili mbele.
jirani unanitafutia matatizo kwa watu ujue...@mtu chake
Unajua hii debate ni ile ya "Education is better than Money" huwa inakuwaga na mabishano makali sana nisawa nakusema "kuku na yai kipikilianza"