JamiiForums Usiku wa manane
Awww! Pesa ni bora kushinda elimu mzee wangu
Hoja zako ni zipi,


Nakupa mfano sasa kutokana na hoja zangu, bila elimu utajuaje kusoma, pia kujua hii ni pesa kiasi gani, bila elimu utaandaeje bajeti ya pesa unayoaanda kwenye kampuni /mradi/kiwanda,

Bila elimu utajuaje kuaanda document hujui kusoma, kama huna elimu utawezeje kuaanda mahesabu ya mwisho mwa mwaka,

Elimu inatumika kwa kiasi kikubwa,
 
Back
Top Bottom