Da Gladiator
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 1,640
- 2,649
Unakaa O'bey kwa kina Kidukulilo.?!Hebu mpige picha. Nina muda mrefu sijaona mende
Unakaa O'bey kwa kina Kidukulilo.?!Hebu mpige picha. Nina muda mrefu sijaona mende
Niko Buza mkuuUnakaa O'bey kwa kina Kidukulilo.?!
Buza Mende zipo! MkuuNiko Buza mkuu
Sipati picha ulivyokua unageuka kama shorobwenziright, kuna siku nililala nyumba ya wageni mkoa fulani, kitanda kilikua na kunguni wakutosha then usingizi ukakata, usiku ule niliuona mrefu kupita kiasi.
nilifyonza sana usiku ule.Sipati picha ulivyokua unageuka kama shorobwenzi
Achana na hiyo, mtu anaweza kukupigia saa11 alfajiri anakuuliza '' vp umelala''Kuna watu wanaudhi, mnamkuta usiku wa manane yupo jukwaa LA siasa. Sijui wanafanya nini. Ha ha ha ha ha ha ha ha ha
Ha ha ha haAchana na hiyo, mtu anaweza kukupigia saa11 alfajiri anakuuliza '' vp umelala''
Wale kenge wanang'ata hadi unahisi umeibeba dunianilifyonza sana usiku ule.
Dah umenikumbusha mbali, 621 J Kilo Tango.Wale kenge wanang'ata hadi unahisi umeibeba dunia
bora umeng'atwa mbu mara 100 kuliko wale wajinga, kunguni wanasifa sana wale washenzi.Wale kenge wanang'ata hadi unahisi umeibeba dunia
Weeeee mbuni, wale wadengue wabaya sana.bora umeng'atwa mbu mara 100 kuliko wale wajinga, kunguni wanasifa sana wale washenzi.
right bt kunguni nao wanakomoa mkuu.Weeeee mbuni, wale wadengue wabaya sana.
Alafu walivyo nyoko, wanakupiga kitu alafu wanapotea ukiwasha taa huwaoni😂😂bora umeng'atwa mbu mara 100 kuliko wale wajinga, kunguni wanasifa sana wale washenzi.
Ni bando ama ni ukauzu tu mnaamua kutelekeza lindo 🤔🤔🤔
Yawezekana ww ndio kiongozi wao 🤔🤔Ni bando + ujeuri tu 😆
Duh! Hapana aisee 😆Yawezekana ww ndio kiongozi wao 🤔🤔