Ronnycinchy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,086
- 7,120
Salama?Napita wajameni kuwasalimia
Salama?Napita wajameni kuwasalimia
Mapema kiasi hiki??? Aagh wapi unatuangusha0027
Natoka bar, hamjambo ?!
Umetoka peke yako, umesalimika?0027
Natoka bar, hamjambo ?!
Ni maeneo ya ufukweni. Ndo mda huuMapema kiasi hiki??? Aagh wapi unatuangusha
Niko hapa, na mdau mmoja katoka kwenye mbavu yangu.Umetoka peke yako, umesalimika?
Kamtendee haki kama ipasavyo. Nakupa Kubali cha kuondoka kwenye lindo ila ukumbuke kutuwakilisha vyema. UsituangusheNiko hapa, na mdau mmoja katoka kwenye mbavu yangu.
Atakoma, nimepiga nyagiKamtendee haki kama ipasavyo. Nakupa Kubali cha kuondoka kwenye lindo ila ukumbuke kutuwakilisha vyema. Usituangushe
Mpwa kumbuka kinapita kichwa cha mwanadamu, hakuna kitu kipya chini ya jua. Utadanganywa tu na nyagi yako, kimoja tu kwa afya usiweke ligi utaishia njiani ututie aibuAtakoma, nimepiga nyagi
Siuzi mechi, ntakunywa ata 'Alkasusi mujarabu'Mpwa kumbuka kinapita kichwa cha mwanadamu, hakuna kitu kipya chini ya jua. Utadanganywa tu na nyagi yako, kimoja tu kwa afya usiweke ligi utaishia njiani ututie aibu
Nilikuwa likizo.....Sanaaaa vipi wewe Rowin, ulipotea humu
Ulimuaga naniNilikuwa likizo.....
Nilikuwa likizo.....