Salama kabisa, hofu kwakoWakuu mko salama?
Hahahaha, mm ni boss kubwa la walinziMbona kama unamfokea?
Umesahau tena? Na Barua nikaandika.Ulimuaga nani
Ulikuwa likizo wakati naondoka.Tatizo hamuagi mkienda likizo
Uliwahi kulala leo ?La familiampo, nimestuka nikaona niwasabai
Tansy niliwahi yes, kwema lakini, wewe bado hujavuta shukaUliwahi kulala leo ?
Hizo kopa kopa kulikoni
Nafurahi kukuona tena, usipotee tena bila agizoUlikuwa likizo wakati naondoka.
karibu sana lindoniLeo naingia lindo