JamiiForums Usiku wa manane
Ndo maana nakupendaga sema unanirukaga..😜
Ahsante nitaicheki sikujua kama imeendelea..
Sema wazinguaji, wanachukua muda mrefu bana.... Hii ep tamu, pipi ameact more romantic hadi raha. Angel alizingua hapo kati hadi nikajisemea "I'll trust no body at the end kumbe ilikuwa ni game tu afu imeishia pazuri hadi nikahisi vbaya 😅
 
Ha ha pole.. nikitulia nitaicheki napenda sound zao zipo safi sana kamera na namna wanavyoakti mixer na wanavyotumia tunyimbo twa zamani.. kuwa mpole mambo mazuri siku zote huwa hayataki haraka.. nimependa huu uelekeo wa bongo movie hii kampuni ya idriss ikitulia kuna kitu itakileta kizuri sana I appreciate them..
 
Ebhana ndo nimetoka kuiangalia hawa viumbe wanataka kutuonyesha nini mbona lipicha linazidi kuweka hamu ya kutaka kuifatilia..😅

Walete nyengine fasta.
Yaan
Sijaamini pale mgahawani alivyotokea Angel manaa me nilikuwa nishamchukia tayari.. Hapo ep nyingine nahisi ni after two weeks au zaidi, wanachelewesha mpaka wanaboa
 
Kuwa mpole tu.. tusubiri inspector mwana ana kipi ila yale mapelelezi mafala Kama Mimi yanamng'ang'ania pipi.. ila hata Mimi ningeng'ang'ania Toto zuri ile hata angel pia black beauty..😜😅
 
That Danga thing is overated. Hamna kipya, waigizaji bado amateurs, story ya kawaida, direction not bad, production fair, ila episode ya latest, too many drone shots kwa ajili ya transitions, kuna plot holes kibao, sound quality safi sana. Plus hakuna consistency kwenye tarehe za kutoka episode mpya, angetulia atengeneze episode 2 ndio aendelee zingine taratibu. Sema kibongo bongo inabadili uelekeo kutoka kwenye kuiga makelele ya wanaijeria kwenda kwenye something watchable.

Kwa mtazamo wangu idris angeanza na ile comedy ya discount mpaka aive ndio alete something big kama hii danga
 
Mida bado
 
Ila Tanzania tu ndo hatusapoti movie zetu
Leo hii hata Wema angeigiza bikira Mariamu angepondwa coz ni mtanzania eti hakuitendea haki scene

Ila wacha iyo scene aigize mzungu utasikia yani ni kama yeye
 
That Danga thing is overated. Hamna kipya, waigizaji bado amateurs, story ya kawaida, direction not bad, production fair, ila episode ya latest, too many drone shots kwa ajili ya transitions, kuna plot holes kibao, sound quality safi sana. Plus hakuna consistency kwenye tarehe za kutoka episode mpya, angetulia atengeneze episode 2 ndio aendelee zingine taratibu. Sema kibongo bongo inabadili uelekeo kutoka kwenye kuiga makelele ya wanaijeria kwenda kwenye something watchable.

Kwa mtazamo wangu idris angeanza na ile comedy ya discount mpaka aive ndio alete something big kama hii danga
Hadi discount unaijua 😆😆 Ep 3 nimecheka sana, manager kama manager.

Danga ok story ya kawaida lakini ina mvuto.
 
Back
Top Bottom