JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Hivi wanawake wanakujaga bar bila hela kabisa?
Kuna wadada wa makamo watatu hapa pembeni yangu dakika 40 zinakatika hawajaagiza chochote. Wanaona kwangu vinywaji vinakuja non-stop wananichekea chekea wanafikiri mimi simp wa kutoa hela kijinga jonga tu.
Usijishughulishe nao,huo ni uzembe wao….ilibidi wawe na kianzio…pombe huvuta pombe mwenzie….hatutoi offer patupu🤒🤣🤣🤭
 
Back
Top Bottom