Ukilewalala
JF-Expert Member
- Feb 18, 2018
- 542
- 1,112
Upungufu wa usingizi mwilini (uumwi)....
hili ni janga la taifa, kuna mtu alinambia chai ya tangawizi or maziwa fresh mda wakulala inasaidia bt mie nikitumia kuna baadh ya siku inakubal bt baadh ya siku inagoma kama leo.Upungufu wa usingizi mwilini (uumwi)....
Mi naamini kuna vitu havina formula bro..... Mi huwa napiga vyombo tu (pombe) ndio at least vinanipa usingizi ila hayo mengine naonaga chenga tu ila sometimes naeza piga vyombo na usingizi ukanigomea 😂😂 hadi huwa nahisi naumwahili ni janga la taifa, kuna mtu alinambia chai ya tangawizi or maziwa fresh mda wakulala inasaidia bt mie nikitumia kuna baadh ya siku inakubal bt baadh ya siku inagoma kama leo.
right, kuna siku usingizi unagoma hadi kitanda unakichukia, sema ni vile tuna sim za kutusogezea muda.Mi naamini kuna vitu havina formula bro..... Mi huwa napiga vyombo tu (pombe) ndio at least vinanipa usingizi ila hayo mengine naonaga chenga tu ila sometimes naeza piga vyombo na usingizi ukanigomea
Sasa usiombe kitanda kiwe na kunguni 😂😂 unaeza hisi umeibeba duniaright, kuna siku usingizi unagoma hadi kitanda unakichukia, sema ni vile tuna sim za kutusogezea muda.
Hahahaha, mambo mengiUmesahau tena? Na Barua nikaandika.
right, kuna siku nililala nyumba ya wageni mkoa fulani, kitanda kilikua na kunguni wakutosha then usingizi ukakata, usiku ule niliuona mrefu kupita kiasi.Sasa usiombe kitanda kiwe na kunguni
tupo mkuu, karibu sana lindo.Mpo?
Karibu tushare, kitanda.Mpo?
Acha uoga chuchumaa dondosha gogo urudi ktk mkeka0212
Nimeamka, naenda kusubala'chooni' . Nmekuta mende chooni 'nikastuka' nikajua jini.
acha woga mkuu, mende usiku ndo mchana wao.0212
Nimeamka, naenda kusubala'chooni' . Nmekuta mende chooni 'nikastuka' nikajua jini.
Watu kama nyie tunawahitaji sana lindoni.... '' fahari ya macho haivamii lindo''Mpo?
Mausingizi, Usiku mende anapaaaAcha uoga chuchumaa dondosha gogo urudi ktk mkeka
Hebu mpige picha. Nina muda mrefu sijaona mende0212
Nimeamka, naenda kusubala'chooni' . Nmekuta mende chooni 'nikastuka' nikajua jini.
Hawa wanatupa Morale!Watu kama nyie tunawahitaji sana lindoni.... '' fahari ya macho haivamii lindo''