JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Haha basi mkuu inawezekana haujui unachouliza
Au tupe wewe majibu unayoona sahihi
Najua nachouliza ndio mzee huwa siulizi nisichokijua we cap kwenye winter soldier anaulizwa alikuwa miaka hata yeye mwenyewe hakumbuki anachokumbuka ni kuwa alikuwepo toka vita ya kwanza ya dunia, Alafu leo aje apeleke miaka 3 mbele alafu arudi amezeeka!?

Ndio maana Goddess hawezi anaglia movie inaisha kwa snap finger [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nasema je marvel uwongo wao ni wakitoto sana nikama movie za Jet Lee Mungu akijalia uzima movies zao za mwakani ndio zitakuwa za mwisho kuangalia mm bora niangalie Avatar.
 
dah mi ndio natulia hapo, napenda horror sana aisee, na ndio nilitaka nikuulzie horror gani umeiona mwaka huu.
Nina kauwoga niseme ukweli tu lakini nilivyo fala kuna movie inaitwa Ghosts of War nimeipakua lakini sijaiyangalia ni ya mwaka huu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Najua nachouliza ndio mzee huwa siulizi nisichokijua we cap kwenye winter soldier anaulizwa alikuwa miaka hata yeye mwenyewe hakumbuki anachokumbuka ni kuwa alikuwepo toka vita ya kwanza ya dunia, Alafu leo aje apeleke miaka 3 mbele alafu arudi amezeeka!?

Ndio maana Goddess hawezi anaglia movie inaisha kwa snap finger [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nasema je marvel uwongo wao ni wakitoto sana nikama movie za Jet Lee Mungu akijalia uzima movies zao za mwakani ndio zitakuwa za mwisho kuangalia mm bora niangalie Avatar.
Usisahau tunasubiri ''Black widow'' tuone kuna nn humo ndani

Cursed''
Warrior Nun''
The Head''
Defending Jacob
Ju-On''

Tafuta hizi halafu thank me later
 
Usisahau tunasubiri ''Black widow'' tuone kuna nn humo ndani

Cursed''
Warrioe Nun''
The Head''
Defending Jacob
Ju-On''

Tafuta hizi halafu thank me later

Ndio niko nasubiria kumuona huyo Nat anamaajabu gani wakati kashakufa [emoji23][emoji23][emoji23]

Weekend na movie nyingi sana za kupakua mapaka sasa umenipa karibia 17. Lakini nitaanza na hizi 5 hapo.
 
We bure kabisa jana nmeshusha series 4 na movie 10 [emoji38]

Usiku huu nmemaliza hio cursed na ingine inaitwa she knows everything zote 2020

Zingine nitamalizia weekend
 
Back
Top Bottom