Amiin.Usiku mwema owenu nyote. Usingizi ji muhimu kwa afya zetu.
Mungu awalinde.
Night popoz
It's midnight in DarGood morning !
Poaaah umeeleweka.![]()
![]()
Pole nisamehe mm ulikuwa ni usingizi limenitoka tu hilo.
Very good GuardNakesha lindoni leo.
It's midnight in Dar
Kumbe unalinda msibani Lupaso Masasi.Ni AM mkuu timeshaanza siku mpya we gonga goodmorning tu hata huku Masasi msibani ni midnight 😜😜
Kumbe unalinda msibani Lupaso Masasi.
Nakupa kongole, utiwakilishe wana JF vyema.😢
Ukirudi kutoka Lupaso nitakununulia chocolate😊Nawakilisha haswa , nakuwakilisha na wewe binafsi mtu wangu wa nguvu 😜
ahadi yako ni deni kwangu ole wako usinunue sasa 😜Ukirudi kutoka Lupaso nitakununulia chocolate😊
Utadakuliwa na majambawazi huna hata kilungu hapoNakesha lindoni leo.




We ukimaliza msiba tu, nitafute!ahadi yako ni deni kwangu ole wako usinunue sasa 😜
Npo na mguu wa kuku hapa, usiwe na shaka.Utadakuliwa na majambawazi huna hata kilungu hapo![]()