Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,836
Kama ya kuota bado ipo ila ile yakuchora na kuchonga ishauzwaPoa, Vp lakini ile Subaru yako umeshauza![]()


Kama ya kuota bado ipo ila ile yakuchora na kuchonga ishauzwaPoa, Vp lakini ile Subaru yako umeshauza![]()


Kwahiyo sipati hata hela ya udalaliKama ya kuota bado ipo ila ile yakuchora na kuchonga ishauzwa![]()



hiyo sijawahi icheki aisee, hapa kuna movie naicheki inaitwa A night of Horror Nightmare, ni ya 2019.Nina kauwoga niseme ukweli tu lakini nilivyo fala kuna movie inaitwa Ghosts of War nimeipakua lakini sijaiyangalia ni ya mwaka huu![]()
Leo nipo naipenda kazi nimerudiWe mwanamke unatafutwa na Boss kazi unakaribia kufutwa.
Vzr sana una juhudi na kaziLeo nipo naipenda kazi nimerudi
Najua nachouliza ndio mzee huwa siulizi nisichokijua we cap kwenye winter soldier anaulizwa alikuwa miaka hata yeye mwenyewe hakumbuki anachokumbuka ni kuwa alikuwepo toka vita ya kwanza ya dunia, Alafu leo aje apeleke miaka 3 mbele alafu arudi amezeeka!?
Ndio maana Goddess hawezi anaglia movie inaisha kwa snap fingernasema je marvel uwongo wao ni wakitoto sana nikama movie za Jet Lee Mungu akijalia uzima movies zao za mwakani ndio zitakuwa za mwisho kuangalia mm bora niangalie Avatar.