Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,211
- 99,963
Niko poa kabisa aiseee! Naangalia lindo vile lnakwenda!!Hili la muhimu mzee wangu, uko njema lakini?
Niko poa kabisa aiseee! Naangalia lindo vile lnakwenda!!Hili la muhimu mzee wangu, uko njema lakini?
Tulikuwa na maswali ya hapo kwa papo na Cookie kidogo.Niko poa kabisa aiseee! Naangalia lindo vile lnakwenda!!
Unataka kumsulubisha mwana lindo kimya kimya?? Hahahaha Cookie kaa kimya Leo mimi ndio nakulindaNgoja atuambie maana siku hizi wanafuta threads nyingi sijui tatizo ni maudhui
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahahaha mdogo mdogo msije sahau kufunga milangoTulikuwa na maswali ya hapo kwa papo na Cookie kidogo.
Tupo makini sanaHahahaha mdogo mdogo msije sahau kufunga milango

Hahahaha, ndio nilikua nakuandalia utaratibu ,utapata bonus, tips na incentive zote km Mlinzi bora wa kipindi chote cha corona / covid 19Usisahau na tips mkuu nitashukuru
Hahahaha, nipo Mkuu tunalinda watu wasiibe jukwaawe jamaa upo??
Kama akioona nae hapo ofisini? Akina Farida wengi wanakuaga slim flani hivi na sauti za kiuchokozichokozi. Farida tutumie picha yako tafadhaliSikumbuki vyema tena, mliniboa sana.
Mmesababisha mpaka sasa sifahamu kama Fatuma Karume kama ana familia ama laah.
(Halafu kuna mod anaitwa Farida pls mfikishie salamu zangu kama ukionana nae hapo ofisini)
Kwa category ya Ladies pleaseHahahaha, ndio nilikua nakuandalia utaratibu ,utapata bonus, tips na incentive zote km Mlinzi bora wa kipindi chote cha corona / covid 19
Hongera kwako, makofi tafadhali
Hahahaha unataka na wewe Mkuu ? Chapa kaziKwa category ya Ladies please
Hahahahaha imekula kwako, kuwa mpole jipange upya! Badilisha ID uje kiupya
Nataka dawa ya chuma ulete tu kama unayo nipitishie mzee.Naelekea kuwanga mida hii nishavaa zanu kaniki na mkononi nina usinga
Nani Yuko macho nimpitie
Sent using Jamii Forums mobile app
Amna Mkuu Mbona used yapo(mtumba)Siunajua mzigo unakuwa kwa order huo sio kinyonge kuown unajua zero km mwana aeleza vizuri tu kalipataje hilo dudu washa.
? 
Lamborghini aventador lishawahi onekana Africa?Amna Mkuu Mbona used yapo(mtumba)
Unamjua hushpuppi?
Alaf Mbona hata huk Tz zipo Lamborghini,
Lamborghini Gallado nahisi, Kama 2/3 Hivi
Moja plate number inaishia CCC ingine imeandikwa sijui DELICA/NA
Au Nikuletee na pich
Sent using Jamii Forums mobile app