Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,211
- 99,963
04:06
Nimekufuma Leo! Uko poa?😎😎
0408hrs
Powa kabisa sijui weweNimekufuma Leo! Uko poa?
Soma Ramani upande wako wa mashariki kuna pt naiona muda sana huwenda ukawa unaviziwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Lindoni usikae kizembeSoma Ramani upande wako wa mashariki kuna pt naiona muda sana huwenda ukawa unaviziwa
Sent using Jamii Forums mobile app