Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,836
Kwani yalitokea kwa zali?!Kilikuwa kisanga tu leo.
Kwani yalitokea kwa zali?!Kilikuwa kisanga tu leo.
Wapika chakula gani Tunu wangu?Tunu nakaaangiza vya kichawi saa hizi
nataka kuwa wa temporary tu humu ninyoshe nyoshe watu kidogoSasa ile inahitaji mtu anayeshinda humu muda wote akiregulate mambo, unaweza wewe?



Oh yes Niko poa.Karibu bibie uko poa lakini?
Inashangaza.JF ni kama TISS Mzee, mods itakuwa hawajuani![]()
No hela imetoka hapo 7000 eti.Kwani yalitokea kwa zali?!
Cookie wewe ni yule mtoto wa Moise Iyobo.?
Siku ziona hizo nafasi cookie ndio kwanza najua leo kama huwa nafasi mnatangazaga humu kwahiyo saiz nafasi zipo au hakuna tena mm najitolea tu nataka niwenanyoshe watu na mm![]()
That's gud karibu tupoteze muda tu hapa.Oh yes Niko poa.
Hiyo aliyeiagiza ni mwamba haswa.
Nlikua na picha ya barua ya Serikali kabisa enye hay malalamikoWeka hilo bango mapema sana.
Ndege ilikua ni private na gari ipo mtaani inatembea
View attachment 1453747JF, administrator
Yeap already Solved Mkuu
Si'ndio' tulichat huko Private Message mkuu, uka Solve
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa basi nitakuwa natembelea kusubiri bango la 2020 nifanye application naona hili limenipita.Nafasi za Kazi 25 JamiiForums - mwisho wa kutuma maombi ni Julai 27, 2019 - JamiiForums
Uwe unatembelea Jukwaa la Ajira mara kwa mara
🤔Ok Mr kiranja.
soup ya kongoroWapika chakula gani Tunu wangu?

Hahahh Of Course Madam why notOhh unataka thanks kwenye last msg yako/
Nitapitia kwenye inbox kuangalia


Mjinga huyu amepata wapi hiyo helaNlikua na picha ya barua ya Serikali kabisa enye hay malalamikoView attachment 1453753View attachment 1453754
Sent using Jamii Forums mobile app



hii si budget ya baadhi ya wizara kwa nchi zetu hizi 