JamiiForums Usiku wa manane
Mjinga huyu amepata wapi hiyo hela hii si budget ya baadhi ya wizara kwa nchi zetu hizi
Anafanya kaz nje, itakua
Ki'zambia zambia' uzi change kwacha mpaka zifike 4bilion tzs ni mbali
Hivi kampuni inayotengeneza Bugatti na Lamborghini ni moja?
Yeah Volks Wagon ndio kampuni Mama wanasema, Yani VW Group of Companies ina own hiz Companies na zinafanya kaz Independently

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom