Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
Hili la muhimu mzee wangu, uko njema lakini?Mkumbuke kuvaa barakoa
Hili la muhimu mzee wangu, uko njema lakini?Mkumbuke kuvaa barakoa
We mzee dream car yako ni ipi kwanza?
Leo ndo nakuona humu ndani
Pole sana kwa kuonewa na wakuda
Fuata sheria za JF, wakuda hawatafuta post zako

nilikuwa najua kosa sema kujimwambafywe ndio maana ban hazikuishi ujue alafu huwa unalalamika sana ww ukipata adhabu yakoulifanikiwa kujua ulifungiwa vipi?
Mtu kaleta uzi unamuhusu Fatuma Karume.
Nikauliza "hivi ana familia? Mume na watoto"
Hapo sheria ipi imevunjwa?🙄
We mzee dream car yako ni ipi kwanza?





nyie mnawezaje kuwaita hivvyo maana mi nikijaribu ni kama namwambia yesu abadili sanitizer kuwa konyagiKumbe kweli ni ‘wakuda’.?![]()
Kumbe kweli ni ‘wakuda’.?![]()
Ndio mm nilitaka kushangaa unaweza vipi kwenda kutumikia adhabu bila kujua kosa lako hapo sasanilikuwa najua kosa sema kujimwambafy


lakini saiz ushakuwa na adabu sasa.Sikumbuki vyema tena, mliniboa sana.Kweli wewe ni troublemaker *jokes*
Siku nyingine ukiwa na malalamiko kama hayo, mtumia private message Mod yeyote aliyekuwepo online, au tumia jukwaa la Complaints
*Unakumbuka title ya mada hiyo?
Moderator HabariKweli wewe ni troublemaker *jokes*
Siku nyingine ukiwa na malalamiko kama hayo, mtumia private message Mod yeyote aliyekuwepo online, au tumia jukwaa la Complaints
*Unakumbuka title ya mada hiyo?





Nilijua tu ukitaja lambo hutaacha kusema ni aventador CB, CR7, Quavo wanapush hiko kimeo wapo celebrities wengi tu hao ni baadhi.![]()
qmamaake
All Lamborghinizz
Sana Sana Lamborghini Aventador
View attachment 1453732
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu bibie uko poa lakini?