JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Amna Mkuu Mbona used yapo(mtumba)
Unamjua hushpuppi [emoji2]?

Alaf Mbona hata huk Tz zipo Lamborghini,
Lamborghini Gallado nahisi, Kama 2/3 Hivi
Moja plate number inaishia CCC ingine imeandikwa sijui DELICA/NA
Au Nikuletee na pich [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila hizi gari kuzimiliki afrika mashariki hatuzitendei haki maana hakuna barabara za kuzifanya zitambe to their top speed.
 
Back
Top Bottom