fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,873
- 24,476
Kumekucha
Kumekucha
Ahsante rafiki.
Ushakula daku mamii?Ahsante rafiki.
Sijafkia hatua hiyo..nna stake kiasi [emoji4] japo soap dish muhimuMe nikilala sana weight inapungua [emoji3]
We kama inaongezeka jitahidi uwe unalala sana. Au huofii kuja kupeperushwa na upepo
Lore olympus[emoji132]
Najiandaaa kufungua lindo,... aaah
Mishahara haitoki tu
Tupo usijione mpweke, ila tunamalizia kikao kdg kabla hatujaanza lindo kamili2340...
20 mnts to go
Shayne ward- Breethless[emoji445]
10:5511:52
8mnts to go
Naomba nikupatie bonus yako kwa kuwahi lindoni , nikiwa km Mlinzi MwandamiziLore olympus[emoji132]
Najiandaaa kufungua lindo,... aaah
Mishahara haitoki tu
Usisahau na tips mkuu nitashukuruNaomba nikupatie bonus yako kwa kuwahi lindoni , nikiwa km Mlinzi Mwandamizi