JamiiForums Usiku wa manane

Wazee Kwamba mnataka kunipa connections za replies Hahahahh
.
Haya mambo ya Intro and extroverts sijayajua vizuri Naona tuu Mada zake I haven't read them yet
tulia mzee..
Kiukweli japo sio wa kuchangia sana online ila huwa napata watu ambao tunashare vitu sawa, iwe mawazo, background, interests na huwa natural tu mnajikuta mnaclick

Extroverts = watu wanaokuwa comfortable na energetic wakizungukwa na watu .hawa ndo wengi

Introverts = hupata hivyo vitu wakiwa alone.. one man army yaani
 
What kind of question is that? Bahati mbaya sina reference unless nijue ni kitu gani then nitafute. I'm sure I can get some.

Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Kama hapo nilivyosema nipo introverted lakini ukajibu sio lazma so long as najua kitu.naeza mfundisha mtu hata kama sina interest nacho.kitu ambacho ni kweli
 
Kuna kitabu kinaitwa Mindset: The new psychology of success. Kitafute ukisome. Kina mifano mingi sana ambayo itabadili mtazamo wako. Mathalani mimi sipendi kuwa na cycle kubwa ya friends. Na pia sio mzungumzaji kabisa. Hata katika mafanikio sipendi kujionyesha ndio nimefanikisha jambo flani.

Ntakitafuta budaa japo ni mvivu wa vitabu asee.. nkifika nusu napiga chini
 
Mimi pia sina cycle kubwa sana mzee na niko njema tu

Plus saa hii saa nane bado dakika tano, inabd nilaze hii kichwa maana kesho saa moja natakiwa niwe up
 
Upo kama mimi. Ila nakisoma kwa sababu ni lazima nikisome maana kila mwisho wa mwezi tunajadili kile ambacho tumejifunza.

Ila kwa point yako ya awali ni kwamba kuna kipindi unatoa ushauri kwa kitu ambacho hata hukipendi lakini kwa sababu someone else kitamsaidia.

Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
 
Mimi pia sina cycle kubwa sana mzee na niko njema tu

Plus saa hii saa nane bado dakika tano, inabd nilaze hii kichwa maana kesho saa moja natakiwa niwe up
Jitahidi kupumzika mzee ili usiamke ukiwa mchovu. Ukiamka ukiwa na clear mind kwenye kuianza wiki unakuwa active sana. Hapa kwangu ni saa 1 kasoro jioni.

Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
 
Upo kama mimi. Ila lakisoma kwa sababu ni lazima nikisome maana kila mwisho wa mwezi tunajadili kile ambacho tumejifunza.

Ila kwa point yako ya awali ni kwamba kuna kipindi unatoa ushauri kwa kitu ambacho hata hukipendi lakini kwa sababu someone else kitamsaidia.

Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Ila ni kweli huwa nafanya hivyo kiasi..sometimes unaeza jikuta na knowledge ya kitu flani hata kama hukipendi so mtu akijitokeza na kuhitaji..huwezo kumkunjia
 
Jitahidi kupumzika mzee ili usiamke ukiwa mchovu. Ukiamka ukiwa na clear mind kwenye kuianza wiki unakuwa active sana. Hapa kwangu ni saa 1 kasoro jioni.

Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
True say brother ....
Na leo nilitaka kulala mapema ila kuna vitu vimenifanya nipitilize..
Nice night in advance budaa
 
Ila ni kweli huwa nafanya hivyo kiasi..sometimes unaeza jikuta na knowledge ya kitu flani hata kama hukipendi so mtu akijitokeza na kuhitaji..huwezo kumkunjia
Ndio manake. Na kumbuka kama jamaa akifanikiwa basi automatically you'll be blessed na utaona unazidi fanikiwa. That's what I believe.

Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
 
tulia mzee..
Kiukweli japo sio wa kuchangia sana online ila huwa napata watu ambao tunashare vitu sawa, iwe mawazo, background, interests na huwa natural tu mnajikuta mnaclick

Extroverts = watu wanaokuwa comfortable na energetic wakizungukwa na watu .hawa ndo wengi

Introverts = hupata hivyo vitu wakiwa alone.. one man army yaani

Ahaa yeah bro that's why nikasema nayaona humu ila sijaai kuyasoma

Kuna uzi humu ndani unaongelea hao watu Next Man

Sent from my SM-N9500 using Tapatalk

Aisee very Simple definition mkuu, Regarding how you define, inaonekana am likely to be an Introvert
Nimewah kuwekwa kikao nlikua naonekana mkosef huwez amin sikuwezaji kujitetea yani inakua ngumu kwang..Lkn nje ya pale kichwani nakua na hoja nzuri natengeneza hoja mpk najiona hapa me naonewa tuu Lkn nikiwekwa kwati nakua ngumu
.
Wazee usiku huu naona usingizi unazidi nguvu
 
Back
Top Bottom