JamiiForums Usiku wa manane
Ahaa yeah bro that's why nikasema nayaona humu ila sijaai kuyasoma



Aisee very Simple definition mkuu, Regarding how you define, inaonekana am likely to be an Introvert
Nimewah kuwekwa kikao nlikua naonekana mkosef huwez amin sikuwezaji kujitetea yani inakua ngumu kwang..Lkn nje ya pale kichwani nakua na hoja nzuri natengeneza hoja mpk najiona hapa me naonewa tuu Lkn nikiwekwa kwati nakua ngumu
.
Wazee usiku huu naona usingizi unazidi nguvu
Thats true hujakosea..introverts wengi wana comversations kibao kichwani since kiuhalisia hawaez ongea ... nightz budaa
 
I think we all need that on our doors. Stay safe guyz!
IMG_20200420_024922.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom