JamiiForums Usiku wa manane
Mzee wangu nakukubali. Lakini kumbuka happiness huwa haidumu. Mara utakapo izoea utaona kawaida hivyo utatafuta kitu kingine kikupe furaha. Take an example sisi wanaume kama tungekuwa tunafuraha na papuchi za either wake au wapenzi wetu kusingekuwa na uchepukaji. Tunajisikia furaha kujaribu nyingi nyingi.

Sent from my SM-N9500 using Tapatalk

Ili somo linazd kuwa gumu
 
That can be possible as well. Suppose you have a certain common goal to achieve and at the end of the day you made it. All of you will feel happy. Take an example of football team when they score.

Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Kaka mkuu

Naona hapa all the definitions zipo based on "satisfaction"....
 
Na ndio furaha yenyewe. Hujaona mtu kafail mtihani akajiua? Ndio maana ikiwa ni perception. Unaweza kuwa na furaha ilhali huna msosi?

Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
True satisfaction ni kitu cha ajabu sana na sijawahi kuelewa.. em fikiria inakuwaje mtu anaridhika na mtu wake kwa sababu ya anavyoongea tu
 
True satisfaction ni kitu cha ajabu sana na sijawahi kuelewa.. em fikiria inakuwaje mtu anaridhika na mtu wake kwa sababu ya anavyoongea tu
See now. Ni satisfaction nido inafanya furaha yako ikamilike. Lakini utakapokizoea hicho kitu utataka cha juu yake. Rejea Maslow theory.

Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom