JamiiForums Usiku wa manane
Mwaka gani then nitakutajia op ulivyokuwa. Yaonekana ulienda kwa kulazimishwa as it was majibu wa sheria and you never liked anything about being there haha

Mkuu hizo details zote za nini ? sikulazimishwa hata kidgo, Nime enjoy Sana Sana tuu tena I wish I could turn back time to those good days
Mimi ndio nlikua mpiga kipenga wa kombania, Chenja ikipigwa lazma niamshe morali kwa vipenga
Hembu acha Kunikumbush zile raha mkuu
.
" Ooohh Ninyime ninyimeee ninyimeee kitumbua chako ninyimee kina mchanga "
Najua we ni mwenyewe hizi mambo
 
Nikilala kila movement sauti itakayokua karibu yangu basi hua naisikia.
(Hasa ukitaja jina langu)
Sasa kuna jamaa alikua form 4 mm niko form 2 alikua anakuja tunasoma. Siku moja kaja kunigongea saa4 usiku nimelala nikamfungulie aingie tusome.. Nikamsikia nikawa naamka nikafungue Usingizi ukanipitia tena moja kwa moja sijaenda kufungua.
Cha ajabu nikaota kua nilienda kumfungulia akaingia tukasoma kuna kisehem alikua ananifundisha kipya. After 2 hour tukaenda kulala. Sasa asubuhi naamka nijaandae kwenda shule namuangalia mwenzangu niliyelala nae simuoni kitandani. Ndio nikajua yote usiku nilikua naota.

Keaho yake jamaa akaniambia kua aliniita nikaitika ila sikumfungulia Why? Ikabidi nijieleze!!! Cha ajabu kile nilichofundishwa kipya Kwenye ndoto nikabaki nacho kichwani nakielewa!!!
Hii situation sijawahi kuielewa
Ooh hiyo pia inashangaza
Ushawahi kusikia wale wanaotembea wakilala (sleep walker)

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mkuu hizo details zote za nini ? sikulazimishwa hata kidgo, Nime enjoy Sana Sana tuu tena I wish I could turn back time to those good days
Mimi ndio nlikua mpiga kipenga wa kombani, Chenja ikipigwa lazma niamshe morali kwa vipenga
Hembu acha Kunikumbush zile raha mkuu
.
" Ooohh Ninyime ninyimeee ninyimeee kitumbua chako ninyimee kina mchanga "
Najua we ni mwenyewe hizi mambo
Ulikuwa chini ya Charlie Oscar Col. Mbuge na 2iC Maj. Mbanga😁😁
Sipati picha jinsi ulivyokuwa ukikiamsha hapo kombania😂😂
 
In simple words happiness ni ile feeling ya pleasure na positivity pia uko na furaha , yaani you can't help but smile .

Sent using Jamii Forums mobile app
That's true. It is something that's very personal. You can not even be able to explain it. Nakumbuka kwenye somo la Kiswahili kuna kitu kinaitwa dhahania. Hukioni lakini una feel.

Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
 
Something that you perceive can make you happy. Could be permanent or temporary happiness

Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
What if happiness may be just a common feeling to all of us but can only be derived from different sources which are not common to everybody..

Like we can get happiness from different things but the feeling "happiness" is just the same...
 
What if happiness may be just a common feeling to all of us but can only be derived from different sources which are not common to everybody..

Like we can get happiness from different things but the feeling "happiness" is just the same...
That can be possible as well. Suppose you have a certain common goal to achieve and at the end of the day you made it. All of you will feel happy. Take an example of football team when they score.

Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
 
so hata nilivoona your txt na kusmile . Kwa hiyo im happy
Mzee wangu nakukubali. Lakini kumbuka happiness huwa haidumu. Mara utakapo izoea utaona kawaida hivyo utatafuta kitu kingine kikupe furaha. Take an example sisi wanaume kama tungekuwa tunafuraha na papuchi za either wake au wapenzi wetu kusingekuwa na uchepukaji. Tunajisikia furaha kujaribu nyingi nyingi.

Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
 
Ulikuwa chini ya Charlie Oscar Col. Mbuge na 2iC Maj. Mbanga
Sipati picha jinsi ulivyokuwa ukikiamsha hapo kombania
Mkuu hufai wewe, Wacha kabisa yale mambo. Kombania yetu ilikua ya morali si kitoto Kat ya Zote Sita mwisho F,... Brigedia Jenerali Mbuge Sahvi ni Mkuu wa jesh la JKT, kuna ishu frani hivi ikabidi nipelekwe Kwa Mkuu wa Kambi kapteni akanichukua Mpak kwa Mkuu mbuge akanifokea pale ndani yakaisha
.
Hakuna sehem ambay Nime-interact Sana na wanawake kama kule Mkuu acha kabisa achaa Great moment Ever, Mkuu kwenye intro me mwanang frani tulikua tunawatesa wenzetu tulikua vzr kwnye uchura tunawaacha atua 20 nyuma yani kila kitu

Utanifanya nitafuta ile CD ilip niangalie
 
Inatokea hasa hiyo sehemu kama umeshajaribu kuisoma mara nyingi na huielewi.

Mimi nikiwa shule nilikuwa hesabu ikinihangaisha sana mpaka nalala sijaipata, kuna muda ndotoni nilikuwa naweza kuota nimeifanya au mtu amenielekeza mpaka jibu linapatikana, nikishtuka nachukua swali narudia mpaka napatia kwa maelekezo ya ndotoni.
Basi wewe ni genius
Wengine hatujisumbui ni kulala tu
 
Back
Top Bottom