Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,602
- 20,098
Kitambo sana. Missing you tooLeo Nami Napita Maana Kitambo Huu Uzi.
Miss U
Kitambo sana. Missing you tooLeo Nami Napita Maana Kitambo Huu Uzi.
Miss U
Umelala mapema banaaaaUsiku mwema wadau
Kijana Umeona Moto Tuliouwasha.
Pole Sana Kwa Yaliyokusibu Leo Ndugu Yangu
Umelala mapema banaaaa
Yap yap yapWewe humu kumbe mwenyeji sana ? Inaonekana mimi nilipo anza kurindima humu wewe mkongwe majukumu yalikuwa yamekubana sana. Yaani tulipishana.
Hata mie,usiku mwema banaNipo, usingizi umenizidi maarifa.
Hata mie,usiku mwema bana
Mambo vipi mkuu, mimi nipo sanaaa.Malcom Lumumba nakuona nakuonaaaa
Muda badoNaomba sasa nifunge geti. Muda umeenda sana. Tukutane tena kesho wajumbe.



Muda bado
Mzee wa konki master inakuaje