JamiiForums Usiku wa manane
03:30am

Nadhani tumeelewana kwa Wakubwa tu
 

Attachments

  • Screenshot_20200420-033250.png
    Screenshot_20200420-033250.png
    89.6 KB · Views: 5
Wanga wenyewe wanagongea nyagi! Hii mvua na baridi ndio inazingua tu. Kama pombe nimekosa ngoja nisikilize maombi tu sasa.
Kaka mkubwa ulitakiwa uwe2na stock ya kutosha hasa kipindi hiki cha COVID-19. Unatakiwa kuwa na bapa hata 3 hadi 5 zitasaidia sana nyakati kama hizi. Pole mkuu I feel you.

Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom