Aah usijifanye hujui hiyo note ngapi hapo [emoji23][emoji23]Iko wapi hiyo Samsung niliyopewa na Mkorea?[emoji23][emoji23]
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Tunao kaa mabondeni nyumba zimeingia maji tunakazi hakuna kulala leo.Wakuuu,mnaogopa kumaliza godoro kwa kisingizio cha lindo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji87][emoji87][emoji87] Hahahaaa. Kijana huna nidhamu. Hii Techno ila nimeifanyia maujanja tuAah usijifanye hujui hiyo note ngapi hapo [emoji23][emoji23]
ha ha ha kati ya mvua na jua,bora nini?Tunao kaa mabondeni nyumba zimeingia maji tunakazi hakuna kulala leo.
[emoji23][emoji23][emoji23] mm sio kiande wa kihivyo huwezi nipanga kifala hivyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji87][emoji87][emoji87] Hahahaaa. Kijana huna nidhamu. Hii Techno ila nimeifanyia maujanja tu
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hakuna bora vyote ni matatizo tu saiz ungekuta tunalalamika kuwa kuna joto.ha ha ha kati ya mvua na jua,bora nini?
Mzee naona umekuja na bango ila pale Aga khan sio mchezo huduma yake [emoji91]
Huamini sasa?[emoji23][emoji23][emoji23] mm sio kiande wa kihivyo huwezi nipanga kifala hivyo [emoji23][emoji23][emoji23]
Kufunga tu lindo hkn kingine, tufanye mazoezi kdgKuna habari gani humu tena???