Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,093
- 124,633
Aah maana mm niliambiwa kirefu chake ni welcome to friendzone. Basi nitaendelea kutafuta hakuna shida.
Leo nitachukua zamu yako usiwaze.
Lala tu na hiki kibaridi cha mvua hakuna joto kabisa leo.
Naona mmekutana wenye chama chenu kwenye kubadilishana mawazoNakuona mwenyekiti kwenye majukumu yako Ban ilikuwa ni yann lakini [emoji23]?
Nakuona katibu kwenye majukumu yako.Naona mmekutana wenye chama chenu kwenye kubadilishana mawazo
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Mwenezi umetisha. Na hiki kipindi cha COVID-19 lazima upate wanachama wa kumwagaNakuona katibu kwenye majukumu yako.
[emoji23] Tena kipindi hiki no kissing, hug and hand shake mambo ni mazuri kabisa.Mwenezi umetisha. Na hiki kipindi cha COVID-19 lazima upate wanachama wa kumwaga
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Unaona unavyofurahia. Kubwa zaidi chair wako yupo huru[emoji23] Tena kipindi hiki no kissing, hug and hand shake mambo ni mazuri kabisa.
Naona katika harakati za kukuza chama na kukiendeleza mwenyekiti kaenda tofauti na sheria akapewa Ban nzr tu.Unaona unavyofurahia. Kubwa zaidi chair wako yupo huru
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
[emoji23][emoji23][emoji23] alikuwa ana tangaza invention kwa mod?Naona katika harakati za kukuza chama na kukiendeleza mwenyekiti kaenda tofauti na sheria akapewa Ban nzr tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mod akapita naye na matangazo yake.[emoji23][emoji23][emoji23] alikuwa ana tangaza invention kwa mod?
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk