Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,253
- 90,452
Hahahaha, usihofu khs mm kulala , nakulinda Rafiki wasikukwibeHamna haja ya kuwa na mashaka me niko salama kabisa.
Urudi ulale...ama code imeshabadilika?
Hahahaha, usihofu khs mm kulala , nakulinda Rafiki wasikukwibeHamna haja ya kuwa na mashaka me niko salama kabisa.
Urudi ulale...ama code imeshabadilika?
Haha shukrani kwa ulinziHahahaha, usihofu khs mm kulala , nakulinda Rafiki wasikukwibe
TunachatKwenye huu uzi hivi huwa mnafanya nini?
Umekuwa mtoro wa usingizi sasa.Haha shukrani kwa ulinzi
Tunachat
Karibu sanaOkay..basi na mimi nitakuwa nautembelea usiku
Haha usingizi umepaaUmekuwa mtoro wa usingizi sasa.
Kwanini?Afadhali kumekucha
Kuna report nilikua naandika, nashukuru kumekucha nilale kidogo kisha niendelee niwapelekee wahusikaKwanini?
Kanywe supu sasa
UlinziKwenye huu uzi hivi huwa mnafanya nini?
Nakuona mwenyekiti kwenye majukumu yako Ban ilikuwa ni yann lakiniLeo mapema sana mjomba.
Sent from my SM-J700H using Tapatalk
?Hua anatapeli kuanzia ijumaa tu hizi siku zingine anaandaa mikakati


Natapeli pale kisutu