little finger
JF-Expert Member
- Oct 13, 2018
- 394
- 998
Mzee naona umekuja na bango ila pale Aga khan sio mchezo huduma yakeJamani kwema!View attachment 1407109

Dah we mwana ni mtata sana

Shukurani mzee wangu ujumbe umefikaTangazo ,Tangazo kwa walinzi wote wa zamu
Tunatakiwa kiimarisha sana ulinzi wa maeneo yetu ktk kumzuia adui Corona
Kumbuka kujihadhari na corona
Wako
Mlinzi Mwandamizi
Lindoni, ufukwe wa ununio

HahahahaKama kakutakia Siku njema ya wapumbavu mjib.
Pumbavu acha ujinga.
Akimind mwambie ulikuwa fool muda uliokuwa una reply
Hiyo wtf maana yake ni nn eti?
Hahahaha, ndio vzr , tunalinda na kupambana na adui corona
Swadakta mkuuShukurani mzee wangu ujumbe umefika
Mimi mzma vipi wewe ?Ooh, okay.
Uko powa lakini!
Mimi mzma vipi wewe ?
HahahahaUmelazimika kulinda nini?
Hahahaha
Hahahaha, kwa kweli sijaelewa ,nasubiri akujibu nami nioneAu mkongwe umeelewa ili unisaidie ufafanuzi?