Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,255
- 90,457
Naona walinzi ,mshakabidhi lindo
Haya twendeni tizi
Haya twendeni tizi
Hakuna hata fumanizi?Kufunga tu lindo hkn kingine, tufanye mazoezi kdg
HahahahaHakuna hata fumanizi?
Mpwa mbona umefurahi? Kuna tukio? Tuambizane tupate experienceHahahaha
Yale mazingira sio mchezo mzee tuliweka gari pale kwenye parking yao natuliingia hospitali nabado tulilipia parking 5000 yao jamaa wanapenda hela hatariYeah! Ni kweli ilo kweli kabisa na gharama zimechangamka
Mfano ukilwa mzazi kwa siku1 ni laki3

Huamini sasa?
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
impossibleMambo dada mkubwa
Niaje pal?Watu mpo??
Poa mkuu....Niaje pal?
We chalii ni mtata sanaimpossible
Hv hii series ya money heists umeshawahi hata icheki maana naona watu wanaisifia mm hata sielewi!Wakija wengi mnistue
Aah mzee hii kitu ishaanza ninitisha sasa kuanzia saiz naichukulia serious kabisa maana vitu havielezeki.Poa mkuu....
Vp harakati za kupambana na corona???