Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
Uko poa we mrembo?
Uko poa we mrembo?
Aah kiongoziWe chalii ni mtata sana
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Sijambo hali ya kwako
Season1 ndo ilikua nzuri na 2 kuanzia 3 midosho tu kawaida sanaHv hii series ya money heists umeshawahi hata icheki maana naona watu wanaisifia mm hata sielewi!
Hata 10 nachukuaMara ngapi
Naona wanaipamba wanafananisha na PB ndio maana nikakuuliza kumbe mzigo vamba wala siangaiki tena.Season1 ndo ilikua nzuri na 2 kuanzia 3 midosho tu kawaida sana
Na yes nmeona season 3 hii ya leo bdo sijaangalia
Wakishuka upoLindoni tena
Acha tuendelee kukomaa na sanitizers tu mkuu...Aah mzee hii kitu ishaanza ninitisha sasa kuanzia saiz naichukulia serious kabisa maana vitu havielezeki.
Wakishuka upo
Saiz ikiwezekana tuwe tunaongea kabisaAcha tuendelee kukomaa na sanitizers tu mkuu...
badala ya maji.Aah wapi katibu ni DrizzleHow is ww katibu![]()
Nzuri, za masiku tele mrembo. Uhali gani ?Za mida wanalindo?