Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
Basi huyo ajui chochote kuhusiana na talent.Kumbuka vigezo na masharti kuzingatiwa
Basi huyo ajui chochote kuhusiana na talent.Kumbuka vigezo na masharti kuzingatiwa
Vigezo mjomba, usipende tufananeBasi huyo ajui chochote kuhusiana na talent.
Ukirudia tena nakukamata
Ulipotea sana jamani, karibu tena.
Mbona nipo dia sema tutakua tunapisha kwenye majukwaa mbalimbali...Ulipotea sana jamani, karibu tena.



Aisee! Ni kweli kabisaAna sababu zake mkuu na humu jf ishaanza kuwa kawaida.. kama ni mtu mnaefahamiana zama PM akupe storee zaidi
Anhaa! Ndio manaMusukuma japo sijakuria sana kure, tumeishi Lamadi
Don't make a promise you can't fulfill...

Saa tano kamili, kutoka 12 asubuhi
Aiseee😂😂 pole sana
Khaligraph John- Istagram girlsGrace matata - free soul![]()
Aisee huu mkwaju sijawahi kuusikiliza wala isikia ndio naiyona hapa itabidi niisikilize.Khaligraph John- Istagram girls