Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
Tatizo huku uswahilini ukikinga maana yake ukae usubirie vyombo vijae vinginevyo ukiamka asubuhi havipobasi kinga usijiulize sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo huku uswahilini ukikinga maana yake ukae usubirie vyombo vijae vinginevyo ukiamka asubuhi havipobasi kinga usijiulize sana.
Dah haka kamvua kanaleta ubaridi fulani hv huu usiku.
Bhana we ni matatizo tu wakulima na waonea huruma kweli yaan mambo kama ndio yako hv.Ni kweli kabisa, kazi kuvunja madaraja tu na kuleta mafuriko..
Mashamba yamejaa maji hata mpunga haulimiki.
Nawakumbusha tu wale wapenzi wa kukumbatiana kipindi Kama hiki..CORONA BADO IPO.
Sent using Jamii Forums mobile app



Sasa wakati unakinga siupo JF unasukumua muda mpaka maji yanajaa baada ya hapo unaingia ndani.Tatizo huku uswahilini ukikinga maana yake ukae usubirie vyombo vijae vinginevyo ukiamka asubuhi havipo
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah huyo jirani hakutakii mema mzee.Kananitiaga nyege tu nipatiemo dhambi usiku huu. Hharafu jirani yuaja na khanga asema feni imeharibia kwake akaage kwangu apoe kindoogo
Don't make a promise you can't fulfill...
Daah ngoja tu nilale, sitowezaSasa wakati unakinga siupo JF unasukumua muda mpaka maji yanajaa baada ya hapo unaingia ndani.
Kwa sababu ya mwandiko wakoHabari za asubuhi, kuanini umesema hivyo??
Don't make a promise you can't fulfill...
Basi egesha tu chombo hapo unaweza ukashtuka baadaye usingizini ukatoka nje unaingia vyombo tu ndani simple tu mbona.
Hapana siwezi kubeti, vyombo vyenyewe viwili hiviBasi egesha tu chombo hapo unaweza ukashtuka baadaye usingizini ukatoka nje unaingia vyombo tu ndani simple tu mbona.
Acha uwoga weka vyombo
Yaan hofu yako ni kuwa majirani zako wanaweza tumia hayo maji kwani kuna tatizo ukitoa sadaka unaweza kinga kwa wenyewe uhitaji wanaweza wakatumia maana ni maji ya bure tu.
Mvua tu leo tunalala bila fan
Kuna mtu aliuliza jiraniKwani hili bango nani hajalisoma![]()
mm mwenyewe nishakuwa mvunja sheria siku hizi.Kuna mtu aliuliza jirani