Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
Inspiration song hii.
Inspiration song hii.
Niaje hommieTulipende lindo letu wakuu
Barnes
Aisee huu mkwaju sijawahi kuusikiliza wala isikia ndio naiyona hapa itabidi niisikilize.
Nilazima mzee hip hop ni mziki Namba 1 nao upenda kushinda hizi nyingine.Icheki iko poa
Unapenda maji ya mvua?
Acha tu mkuu,hii hali ya hewa inafaa kwa kilimoDah haka kamvua kanaleta ubaridi fulani hv huu usiku.
Kabisa lakini hizi mvua za mwaka huu mm naona hazieleweki kabisa.Acha tu mkuu,hii hali ya hewa inafaa kwa kilimo
Kwani hili bango nani hajalisoma

Ndio, hata ningekuwa siyapendi bado nitakinga kwa sababu ni ya bureUnapenda maji ya mvua?
Niaje hommie
Ni kweli kabisa, kazi kuvunja madaraja tu na kuleta mafuriko..Kabisa lakini hizi mvua za mwaka huu mm naona hazieleweki kabisa.
basi kinga usijiulize sana.Ndio, hata ningekuwa siyapendi bado nitakinga kwa sababu ni ya bure
Sent using Jamii Forums mobile app
Anhaa! Ndio mana
Hili Barnes ni jina lako?N poa mwamba
Barnes