wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,210
- 37,832
Kesheni makamanda,kuna usemi nilisikia kwa wazee wakisema,kuanzia mida ya saa 6 usiku mpaka saa 11 huwa ni mida za watu wenye maradhi mbalimbali kwenda mbinguni. Kutokana na hali hiyo nakesha mpaka asubuhi
Basi wazee wote wenye Corona kule Italy/Spain watakua hawalali mida hii.


