Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Unamjaza tu [emoji23][emoji23]
Unamjaza tu [emoji23][emoji23]
Usitake kutufunga kamba. Kihonda inaanza pale samaki samakihawezi kuijua Moro kunizidi mm huyu kihonda inaanzia msavu mpaka mizani kule.
Taja hapa sehemu uzijuazoEmbu jaribu taja eneo ambalo mm silijui mm najua Moro mkoa mzima na sio wilaya ya moro mjini tu.
Namjua ndio maana nakuambia sasa.
Umefeli hapo nina futi 5 na nchi 6 mzee wangu mm sio mluguru eti [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] Moro naijua ww kushinda ww unavyojijua.
Unapajua kididimo ww [emoji23]
Unajua zile nguzo zimeanzia wapi?
Dah [emoji4]
Sasa mbona ni mfupi tu. Kuna jamaa kaanzisha uzi wa gamers anataka wa kuanzia f 5 inchi 7. Yaani. 167 cmUmefeli hapo nina futi 5 na nchi 6 mzee wangu mm sio mluguru eti [emoji23][emoji23]
Msamvu stand haipo kihonda jombaaUnajua zile nguzo zimeanzia wapi?
Height haichezi kinachocheza niskillsSasa mbona ni mfupi tu. Kuna jamaa kaanzisha uzi wa gamers anataka wa kuanzia f 5 inchi 7. Yaani. 167 cm
Sent using Jamii Forums mobile app
Height haichezi kinachocheza niskills
Niwapi pale sasa?
Messi height yake unaijua?
Ndio maana nakuambia skills ndio muhimu kuliko height sasa.
Kumbuka vigezo na masharti kuzingatiwaNdio maana nakuambia skills ndio muhimu kuliko height sasa.