JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

[emoji23][emoji23][emoji23] kwani mkuu inbobo si nilikuambia kuwa sipo fresh.. hata leo sijaenda kucheki hivyo nipo kwa neema ya Mungu "ROLE MODEL"[emoji16][emoji16]
Hilo ROLE MODEL lifute mzee wangu bado sijafika hizo level ujue ndio kwanza bado nipo kuruti ujue [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nakufananisha na jombaa flani.. akilewa anapata good mood yaani akikuhaidi kitu andika maumivu maana next day hakumbuki chochote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Naomba uolodheshe zile promise zote nilizokuahidi alafu leta nimalizane nazo mapema kabla ya Pasaka.
 
Back
Top Bottom