Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,386
- 95,822
Mnasali jumuia ?
Huyu jamaa hajawahi kuniangusha, wewe umeni let down mara kibao halafu una act as if nothing happened.[emoji23][emoji23][emoji23] Unafeli sana kumuamini huyo.
Unafanya Kosa kubwa sana kumuamini huyo hujui tu.Huyu jamaa hajawahi kuniangusha, wewe umeni let down mara kibao halafu una act as if nothing happened.
Unataka ufanyajeSa sijui nikagongee nyagi...eeehhh..au nikagongee veveee[emoji445][emoji445][emoji445]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe jamaa mbona unataka kunichafulia CV [emoji4]Unafanya Kosa kubwa sana kumuamini huyo hujui tu.
Jamaa maneno mob af vitendo hafifuHuyu jamaa hajawahi kuniangusha, wewe umeni let down mara kibao halafu una act as if nothing happened.
[emoji23][emoji23][emoji23] Tulia dawa iingie babu.Wewe jamaa mbona unataka kunichafulia CV [emoji4]
Alinigea task nzito huyo [emoji4] nilishindwa ifanya kwahiyo naona nachofanyiwa hapa ni payback.Jamaa maneno mob af vitendo hafifu
Huyo jamaa mzungu sana..utakuwa ulitoa matarajio makubwa af vitendo sifuriAlinigea task nzito huyo [emoji4] nilishindwa ifanya kwahiyo naona nachofanyiwa hapa ni payback.
Jombaa hunisumbui asee.. angle zako rahisi kukamatika..subiri uone [emoji4][emoji23][emoji23][emoji23] Tulia dawa iingie babu.
Ilikuwa ni do or die mission hujui tu yy anajua [emoji4]Huyo jamaa mzungu sana..utakuwa ulitoa matarajio makubwa af vitendo sifuri
Kesho nataka nikupeleke gorofani pale unasemaje [emoji4]Jombaa hunisumbui asee.. angle zako rahisi kukamatika..subiri uone [emoji4]
Gud tu pal.Warinzi watiifu muhhari gani??
Don't make a promise you can't fulfill...
Kumbe upogo!!!