simiss
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 2,100
- 6,170
Inaonekana mission ya kimafiaIlikuwa ni do or die mission hujui tu yy anajua [emoji4]
Inaonekana mission ya kimafiaIlikuwa ni do or die mission hujui tu yy anajua [emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajua pale zipo nyingi. Ndio ile ile unaiongelea auKesho nataka nikupeleke gorofani pale unasemaje [emoji4]
Acha tu ndugu yangu ni mission Impossible [emoji23] ukiona mpaka mm natubu ujue shughuli ilikuwa sio ndogo.Inaonekana mission ya kimafia
Ee pale palipopita pita bomba la mafuta chini ila Bongo ni nyoko sana wahuni walitaka bomoa pale.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajua pale zipo nyingi. Ndio ile ile unaiongelea au
Wewe ni mkurya au mkenya?Niko online yure yuko nna swari anaweza kuuriza
Don't make a promise you can't fulfill...
Duuuhhh walitaka pata mafuta au ..si wangelipua zaid ya ile iliyotokea juzi katEe pale palipopita pita bomba la mafuta chini ila Bongo ni nyoko sana wahuni walitaka bomoa pale.
Achana naye mvulagizi huyo akija atasumbua hapa ujue [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Drizzle kuna mishe gani huku
Ni maamuzi ya mtu tu mzee kachoka kutumia hilo jina kwani kuna tatizo mzee wangu.Wakuu habari za weekenda
Hii ishu ya kubadili jina ila id ile ile ni utata sana, kuna mtu naona kabdili hapa kilingeni
Unawajua wenye hela ww acha nao hao watu kabisa wasikie tu pesa inaongea mzee.Duuuhhh walitaka pata mafuta au ..si wangelipua zaid ya ile iliyotokea juzi kat
Wewe ni mkurya au mkenya?
Wakuu habari za weekenda
Hii ishu ya kubadili jina ila id ile ile ni utata sana, kuna mtu naona kabdili hapa kilingeni
Imebd nimuite maana unalialia sanaAchana naye mvulagizi huyo akija atasumbua hapa ujue [emoji23]
Sio poa mzee ila hiyo kitu ni hatari af lile eneo limezungukwa na vitu vingi... ikilipuka ni shidaUnawajua wenye hela ww acha nao hao watu kabisa wasikie tu pesa inaongea mzee.
Nikimuona nakula kona leo [emoji23] sitaki visanga mm jana umejambisha alafu umekimbia mzee umeniacha kikaangoni leo hakuna mjinga hapa.Imebd nimuite maana unalialia sana
Ana sababu zake mkuu na humu jf ishaanza kuwa kawaida.. kama ni mtu mnaefahamiana zama PM akupe storee zaidiWakuu habari za weekenda
Hii ishu ya kubadili jina ila id ile ile ni utata sana, kuna mtu naona kabdili hapa kilingeni
[emoji23][emoji23][emoji23] kwani mkuu inbobo si nilikuambia kuwa sipo fresh.. hata leo sijaenda kucheki hivyo nipo kwa neema ya Mungu "ROLE MODEL"[emoji16][emoji16]Nikimuona nakula kona leo [emoji23] sitaki visanga mm jana umejambisha alafu umekimbia mzee umeniacha kikaangoni leo hakuna mjinga hapa.