Ronnycinchy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,086
- 7,120
Jitahidi....nisije kukusimulia usikuIla lazima iishe leo mchana niipakue hiyo mpya sitaki viporo vidogo vidogo tena mwaka 2020
Jitahidi....nisije kukusimulia usikuIla lazima iishe leo mchana niipakue hiyo mpya sitaki viporo vidogo vidogo tena mwaka 2020
Nakumbuka mkesha wa mwaka mpya ulikuwa wa vitisho sana, watu waliaminishwa kwamba mwaka 2000 ulikuwa ni mwisho wa dunia.Kwann ni kumbukumbu mbaya au ilikuwa ni full shangwe?
Aah wapi hutonishinda nanashukuru umeniambia nilikuwa najua naangali mwenye kwanza maana kila nikiwaambia watu hawaikubali.Jitahidi....nisije kukusimulia usiku

Nakumbuka mkesha wa mwaka mpya ulikuwa wa vitisho sana, watu waliaminishwa kwamba mwaka 2000 ulikuwa ni mwisho wa dunia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakumbuka mkesha wa mwaka mpya ulikuwa wa vitisho sana, watu waliaminishwa kwamba mwaka 2000 ulikuwa ni mwisho wa dunia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aah wapi hutonishinda nanashukuru umeniambia nilikuwa najua naangali mwenye kwanza maana kila nikiwaambia watu hawaikubali.
😀😀😀Usiku mwema ndugu.. niko nalembua ka fara ajili ya usingizi
Huwezi amini juzi tu hapa naona naangalia peke yangu nikamwambia bro wangu embu chukua hii series na ww ukaangalie hata ofisin kwako huko utanipa mrejesho iko vp?

Mwenyekiti anayo moja ss na mzee mmoja hv kombe la dunia 2002 watu walikuwa wanakuja kuangalia kwetu tu nyomi ya watu wanaingia humo tv inawekwa uwani hapo ni balaa.
Ulienda kulala amaa?
Huwezi amini juzi tu hapa naona naangalia peke yangu nikamwambia bro wangu embu chukua hii series na ww ukaangalie hata ofisin kwako huko utanipa mrejesho iko vp?
Nilihamia Twitter kuangalia watoto wanasema vipi mkuu.Ulienda kulala amaa?
Kweli ndio ipo hivyo muda mwingine kama bad land watu walikuwa wanaichukulia poa baadaye ikawa serious sasa alafu ndio Sijui kama itarudi tena.Inatokeaga..lakini sio ukipendacho wewe wengine watapenda
Unakosa hata sehemu ya kukanyagaMwenyekiti anayo moja ss na mzee mmoja hv kombe la dunia 2002 watu walikuwa wanakuja kuangalia kwetu tu nyomi ya watu wanaingia humo tv inawekwa uwani hapo ni balaa.
Karibu sana...