JamiiForums Usiku wa manane
Iko hv ileshow haikumilikiwa na Netflix sasa wale majamaa waliokuwa wanadhamini hiyo show wameshindwa kuwalipa character wa humo, character wa humo walitaka hela ndefu kuendelea kuicheza hiyo series sasa watu wanawaomba Netflix wanunue hiyo show iliiendelee.

Oohhh kumbe? Acha niifuatilie...by the time nafika mwisho wanaweza kubadili mawazo wakaiendeleza
 
Back
Top Bottom