Ronnycinchy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,086
- 7,121
Karibu sana.
Next movie naingia hapo [emoji116]Ubarikiwe....nimekuwa naiepuka nikidhani sio nzuri....
Haya nenda na hiki kifurushi cha mwaka mpya Next movie naingia hapo [emoji116]View attachment 1307856
Sijaiyona hata kuiyona lakini wananchi wameikubali wameipendekeza sasa mm ni nani niipingeAsante...na hivi iko Net....nitakuja kukusimulia...[emoji6][emoji6][emoji6]
Aah ndio ndio....Happy new year in advance 💥Kesho au baadae usiku.
Kwa Rehema zake Mungu tu.
Thank you!Aah ndio ndio....Happy new year in advance 💥
Huwezi...inabidi tujiunge naoSijaiyona hata kuiyona lakini wananchi wameikubali wameipendekeza sasa mm ni nani niipinge
Treadstone umeikubali au nimbovu?Huwezi...inabidi tujiunge nao
Kwann ni kumbukumbu mbaya au ilikuwa ni full shangwe?
[emoji38][emoji38][emoji38] nawe pia mzee.Usiku mwema ndugu.. niko nalembua ka fara ajili ya usingizi
Treadstone umeikubali au nimbovu?
Usiku mwema ndugu.. niko nalembua ka fara ajili ya usingizi
Khaaa!!Usijali akili yangu naijua mwenyewe naweza nikaidakia hii mpya ya leo the wicher
Poa poa mtoto mzuriSweet dreams kiddo
Ila lazima iishe leo, mchana niipakue hiyo mpya sitaki viporo vidogo vidogo tena mwaka 2020.Nzuri...ila inahitaji macho na Masikio.....
Unajua kuna baadhi ya series unaweza pepesa macho pembeni ila Masikio yakakupa kinachoendelea.
Malizia ep ya 10 basi.