Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,442
- 110,068
020201:59
020201:59
Sina romantic lakini?Akili zangu nazijua mwenyewe[emoji6][emoji6][emoji28][emoji28]
Naomba Recommend movie nitazame please.
Sina romantic lakini?
Are you serious?Hapana...sitaki hizo.
Nimemaliza Treadstone....so you can imagine
Safi, mambo?Habari
Are you serious?
Safi, mambo?
Unaijua movie fulani inaitwa Anna huwa sipendagi movie star awemwanamke lakini hii Anna ni nyoko huyu mchumba ni mafia hatari
Anna tafuta au umeshaiyona?
Ooh damn, huwezi amini sijamaliza mm na series ipo mkononi episode 10 naangalia taratibu mno kwahiyo nikupe series nyingine?Dead serious
Ooh damn, huwezi amini sijamaliza mm na series ipo mkononi episode 10 naangalia taratibu mno kwahiyo nikupe series nyingine?
Yes please
Haha eti kabla sijapotea...tena kesho ndio siku ya kushinda hapaMambo poa kabisa.
Nikutakie Heri ya Mwaka mpya kabla hujapotea.
Terminator dark fate?
Haha eti kabla sijapotea...tena kesho ndio siku ya kushinda hapa