JamiiForums Usiku wa manane
Kuna mfanyakazi mwenzangu alienda semina ughaibuni bahati mbaya kukawa na utofauti wa masaa 6 hivi na TZ. Duh, jamaa usiku alikua halali (jet lag) hafu muda wa seminar ndio anapiga mbonji hatari. Ile anataka ku-adapt muda wa kurudi umefika kwahiyo alipofika huku tena akawa usiku halali. Mchana analala. Ule mwezi anasema ulikua mgumu sana kwake
 
Back
Top Bottom