Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Sijapita huko kitambo mno mwanzo wa mwaka huu niliipenda sana baadaye ilinishinda nikakimbia.Nilihamia Twitter kuangalia watoto wanasema vipi mkuu.
Sent using OPPO Mobile Phone
Sijapita huko kitambo mno mwanzo wa mwaka huu niliipenda sana baadaye ilinishinda nikakimbia.Nilihamia Twitter kuangalia watoto wanasema vipi mkuu.
Sent using OPPO Mobile Phone
Ilikuwa ina vibe kinoma mpila raha muwe wengi mnaangalia yale mabishano ndio raha yake.
Kweli ndio ipo hivyo muda mwingine kama bad land watu walikuwa wanaichukulia poa baadaye ikawa serious sasa alafu ndio Sijui kama itarudi tena.
Sijui lini ntafunga lindo.hadi muda huu watu mpo macho [emoji22][emoji22][emoji22]
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo saa 11 ndio mwisho [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Sijui lini ntafunga lindo.hadi muda huu watu mpo macho [emoji22][emoji22][emoji22]
Sent using Jamii Forums mobile app
Aah [emoji15][emoji15] pita umo we mwanamke ni hatari hiyo kitu acha kabisa.Huwezi Amini..sijawahi itazama. [emoji2960][emoji2960][emoji2960]
Aah pita umo we mwanamke ni hatari hiyo kitu acha kabisa.
Hapa inamaanisha enzi hizo mzee wako alikuwa miongoni wa vijana wachache wajanja...Hiyo 2000 mtaani kwetu tv zilikuwa 3 tu [emoji38][emoji38][emoji38]
Iko hv ileshow haikumilikiwa na Netflix sasa wale majamaa waliokuwa wanadhamini hiyo show wameshindwa kuwalipa character wa humo, character wa humo walitaka hela ndefu kuendelea kuicheza hiyo series sasa watu wanawaomba Netflix wanunue hiyo show iliiendelee.Utanifanya nianze 2020 nayo....
Sawa basi....umeshinda
Kuna watu wana upepo humu [emoji23][emoji23][emoji23]. Muda mwingine nahisi wapo lindo halisiJitahidi ufunge leo
Bila kufake humu naona league ngumu. Bora uamke 11 ulifungeNjoo saa 11 ndio mwisho [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji38][emoji38][emoji38] sana alikuwa mjanjamjanga sana wasomi wa zamani walikuwa wanampa uongozi coz alikuwa amesoma tu mwisho darasa la 6 Sijui 12 huko.Hapa inamaanisha enzi hizo mzee wako alikuwa miongoni wa vijana wachache wajanja...
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] mm niliwahi funga maramoja humu tu.Kuna watu wana upepo humu [emoji23][emoji23][emoji23]. Muda mwingine nahisi wapo lindo halisi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu wana upepo humu [emoji23][emoji23][emoji23]. Muda mwingine nahisi wapo lindo halisi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama haukuharibu basi inategemea na watu uliowafollow au waliokufollow.Sijapita huko kitambo mno mwanzo wa mwaka huu niliipenda sana baadaye ilinishinda nikakimbia.
Umejuaje mzee [emoji38][emoji38][emoji38] nimeharibu mm dah.Kama haukuharibu basi inategemea na watu uliowafollow au waliokufollow.
Sent using OPPO Mobile Phone