Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,658
Nitakufata chumbani tuone njia sahihiHow we accomplish it?
Nitakufata chumbani tuone njia sahihiHow we accomplish it?
Wewe unaichukia pesa?
Karibu kama una ufunguo wa ziada[emoji6]
Nitakufata chumbani tuone njia sahihi
Itakua aisee[emoji23] maana dunia ndogo hii,
Ukisikia wanga ndo huu...yaani unadiriki kunibania riziki mchana kweupe peeee!Mkuu
Demu wangu huyo na huyo tu ndiye ninaye,naomba chonde chonde umblock tu,
Uchagani ndani ndani huku hata usafiri hamna saivi.Simjui mtu huyo!
Wewe nielekeze
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Njo vile tuko tumekala mu tanzanie kwa mumiaka mumingi tuko twajua mu kiswahili
Ningejua upendo ningeupeleka kwa bbadeSimjui mtu huyo!
Wewe nielekeze
[emoji4] nitembee naangalia chini akati huwa napenda sura za wanawake weupe (warabu)Tatizo sio shingo, ni macho.
Fanya utembee waangalia chini tu.
Hahaha [emoji23]Utajikuta unageuka mwili mzima kama robot.
Ukishageuka utaikumbuka hii post yangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23]Asiponasa yeye yupo tu atakayekuja kunasa kwenye huu mtego.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] naamini Lucas Mobutu hatanaswa kwenye huo mtego.
HahahaKumsamehe mtu na kuwa nae karibu ni vitu viwili tofauti me nimemsahe lakini sitaki ukaribu nae kama zamani
Akipata mwingine aje anitambulishe sina kinyongo kwasababu nimeshamsamehe
Mitego gai tena mnategeana[emoji23][emoji23][emoji23]Asiponasa yeye yupo tu atakayekuja kunasa kwenye huu mtego.
Nimekupenda bure hapo kwenye 'kutokugeuka nyuma'Nilipovumilia ukaniona jinga nikiondoka huwa sigeuki nyuma
Ila nimekusamehe kuwa na amani
[emoji23][emoji1787]Ukisikia wanga ndo huu...yaani unadiriki kunibania riziki mchana kweupe peeee!
[emoji23][emoji23][emoji23] kupotea hatapotea bali atabadilisha I'd
Nakuona nakuonaaa (kwa sauti ya soudy brown)[emoji23][emoji23][emoji23]Asiponasa yeye yupo tu atakayekuja kunasa kwenye huu mtego.
Asiyejua maana usimpe maana....[emoji45][emoji45][emoji45] ushaniharibia mtegoNadhani, wewe ndio utuambie.
Ila alichomaanisha ni kwamba akiwa na mtu(kwa mfano wewe) ukigeuka tuu kuangalia mdada mwingine utakua umejinunulia kesi[emoji3]