Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,789
- 47,985
Hana,ni flat ila sio sanaKuna swali limeulizwa je Thad ana msambwanda
Hana,ni flat ila sio sanaKuna swali limeulizwa je Thad ana msambwanda
Eti huwa hawaangalii hata wakiona😅😅😅😅🤣🤣🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️Ati sina nini?![]()
Usinibanie riziki bwana...kumbuka sikukuu zimekaribiahuyo huwa ni mke wangu, kuna kipindi mwaka jana mwishoni tuliachana
Ndio tumeanza kuwasiliana mwezi huu so labda alichepuka
Mbona lilikuwa kosa dogo makubwa si utampoteza kabisa kwenye uso wa dunia!Nilikua muaminifu sanaaa
Tatizo niliona anatumiwa texts nyingi
Worthless being...daahApambane tu na hali yake
Sana, bila hiyo kitu ningeshalala kitamboKahawa inakusaidia ehh
Poa, karibu.

Niliona aibuAti uliona nini? Kipi kilikufanya uone aibu?
Atajikuta ameshageuka halafu akili zikishakaa sawa ajicheke😀😀wee mwache tu
Okey angekua na msambwanda ningeongeza ushindaniHana,ni flat ila sio sana
Zikukuu huwa zinaendana na mimbaUsinibanie riziki bwana...kumbuka sikukuu zimekaribia

Wacha weee!huyo huwa ni mke wangu, kuna kipindi mwaka jana mwishoni tuliachana
Ndio tumeanza kuwasiliana mwezi huu so labda alichepuka


Hahaha ,mkuu misambwanda huwa mnaipendea nini ile ?Okey angekua na msambwanda ningeongeza ushindani
Huyo ashukuru nilimwacha kabla hata ya kuwa nae maana kwangu asingeona aibu tu bali angejichimbia kaburi ajifukie
Nina wivu sanaa ndio tatizoMbona lilikuwa kosa dogo makubwa si utampoteza kabisa kwenye uso wa dunia!
Msambwanda ni kama kachumbari kwenye pilauHahaha ,mkuu misambwanda huwa mnaipendea nini ile ?
Mi nauelewa wa sanchi tu afu sijui sababu
Ukweli kabisa kaka yangu
Hahaha nimecheka sanaHuyo ashukuru nilimwacha kabla hata ya kuwa nae maana kwangu asingeona aibu tu bali angejichimbia kaburi ajifukie
PoaaUkweli kabisa kaka yangu