MkuuHow we accomplish it?
hahahahahah, halafu nilitaka nikupe mfano huo huo nikasema nivunge😀😀😅.Shukrani sana kwa ufafanuzi murua kabisa.
Kwahiyo wanaume mnapopishana na wadada wenye mizigo yao(wezere) mkigeuka mnakuwa mmeangalia au mmeona?
Bae wapenda pesa ?Akikugawia unigawie na mimi
Sasa mbona hamuongei kilingala?😉Ndio bae,![]()
Mkuu
Demu wangu huyo na huyo tu ndiye ninaye,naomba chonde chonde umblock tu,
Nilishasahau unapenda nini nikumbusheUngekua unaniweka bize nisingekua naangalia wajua navyovipenda lakini
Naifurahia sana sijui wewe huko ulikoNjema, natumai unaifurahia wkend yako hapo.
Hahaha vibaka wakisikia mapambio watatoka ndukiMapambio tena? Unataka tuvamiwe na vibaka eeeh?
Safi tu wkend wapi nikuunge mkonoPoa dear, za wewe?
Njo vile tuko tumekala mu tanzanie kwa mumiaka mumingi tuko twajua mu kiswahiliSasa mbona hamuongei kilingala?![]()
Hahaha asteria muonee huruma mkuu wetu,Hahaaaaaaaa anyway heshima mkuu..Siwezi kukuvurugia mahusiano yako. Enjoy japo Astelia kanipa kibuti
😂😂😂 Kumbe tuna mawazo mamoja(sawa).hahahahahah, halafu nilitaka nikupe mfano huo huo nikasema nivunge😀😀😅.
Tunaona kwanza halafu ndio tunageuka kuangalia😅😅
MkuuKuna mtu humu kamteka huko om itakua..
Mkuu
Fanya tu mauaji,walioko jela ni binadamu kama wewe tu
Ni njema pia hali ya hewa ndio sio rafiki sana ila yote kheri.Naifurahia sana sijui wewe huko uliko
Hastahili kuonewa huruma huyoo
Muache apitie kwanza maumivu
Endelea na movie na muziki sio mbaya kimoja kikipoteaNakupenda wewe, Muziki na Movies